Friday, May 3, 2013

ULIMBUKENI WA KIJANA HUYO NDIO HUU.


Kijana huyo baada ya kupata fedha  ili akalipe Ada akaamua kuanza kupiga nazo picha. hizo ni ada akija kupata mwenyewe za kwake dunia nzima itamfahamu kuwa kapata fedha. kijana acha sifa za kijinga

No comments:

Post a Comment