Thursday, May 23, 2013

MTWARA YAGEUKA KUWA IRAQ NA PALESTINA

Sasa umefika wakati wa kila Mtanzania kutambua kitu gani kinacho tokea Mkoani Mtwara kwasasa. Punde mara baada ya Waziri wa Nishati na Madini, Bungeni kutangaza kuwa Gesi itatoka kwenda Dar es salaam kwanjia ya Mabomba. Mpaka sasa hari ya Mkoani Mtwara si nzuri, Baada ya tamko hilo wananchi wa Mkoani Mtwara wanaipinga vikari Kauli hiyo kwa kuandamana huku wakiimba nyimbo ya (HAITOKI) yaani wakimaanisha Gesi haipelekwi kokote. Huku fakifanya fujo kwa kuchoma magurudumu ya magari Barabarani. Siyo hayo tu bali mpaka sasa kunauharibifu wa mari na miundombinu likiwemo Daraja linalo unganisha Mkoa wa Mtwara na Mkoa wa jirani (Daraja hilo maarufu kama Mikindani) Nje kidogo ya  Mtwara Mjini. Ni hayo tu kwasasa mengi na mengineyo usikose kutembelea BLOG YETU.

No comments:

Post a Comment