Kwa mtazamo wangu nadhani Hii scraper ya Gari ndio ukumbusho wa kweli ambao sio tu Unaonyesha maisha ya mzazi wangu alivyokuwa anasaka maisha kwa hasira bali pia inanipa uchungu na hasira katika kutafuta gooD Lyfe for ma future Perspective. So msidhani natabasamu mkadhani nimefurahi sana na haya maisha bali natafakari nitafanyaje?
No comments:
Post a Comment