Wenge
Wednesday, May 1, 2013
KWA MAISHA KAMA HAYA TUTAFIKA KWELI????????????????????????????????
Kijana ambaye ni mkereketwa na mshabiki wa Chama tawala ktk nchi moja ya Kufikika anadhani kuwa hivi ndivyo Maisha Bora yanavyoweza kupatikana coz anasema kuwa "siri ya Utajiri ni Ubahiri" na ataendelea kukaba hadi kitaeleweka tu!!!
Haaa!! haaa!! Sasa jamani hii ndio style gani ya Usomaji????? Computer moja mnawezaje kutumia watu zaidi ya sita? Natambua kuwa mnahasira sana na maisha! Lakini Hamtaweza kufanikiwa kwa style hii. Aliye juu usimngoje chini coz ataendelea kubaki juu na aliye chini ataendelea kubaki chini miaka yote. Ok lakini Cjui!!!!!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment