Wenge
Wednesday, May 1, 2013
Mama na Mwana Wakiwa BeAch Waki EnJOy MaiShA BoRa KwA KiLa MtAnZaNiA
Kijana anaamini kuwa maisha bora kwa kila Mtanzania inawezekana na ndio maana kaamua kwenda Beach kwaajili ya ku reflesh mind na kutafakari jinsi gani ya kutoka kimaisha Pasipo Mtutu wa Bunduki.
Mama nae Hakuwa mbali na mwanae hapo beach maana maisha ya sasa ni tofauti sana na yale ya kale coz katika Tamaduni zetu Mwanamume ndiye anayemtongozaa mwanamke lakini kwa sasa imekuwa tofauti, Maana Wanawake nao wamekuwa mstari wa mbele ktk Kutongoza wanaume. Hilo ndilo mama analoliogopa zaidi na ndilo kilicho msukuma kuambatana na Mwanae huyo. Lakini Cjui kama atafanikiwa kwa hilo
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment